Header

Professor Jay athibitisha kukamatwa kwa Roma na Moni Central Zone

Wasanii wa muziki wa rap kutoka Tanzania Roma Katoliki na Moni Central Zone wakiwa na kijana aliyetajwa kama msaidizi wa kazi wamekamatwa watu wasiojulikana na kutokomea kusikojulikana mapema jana wakiwa eneo la studio za Tongwe Records.

Akizungumza na Dizzim Online mbunge wa Mikumi Joseph Haule a.k.a Professor amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mpaka sasa jitihada na taarifa za kujua wawili hao wamepelekwa wapi zinaendelea.

Msikilize Professor Jay akithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...