Header

Rapa Kwesta apanda ngazi kwenye mahusiano yake

Rapa na mshindi wa tuzo kubwa za muziki wa hip hop Afrika Kusini Kwesta ametangaza kupotea kwenye soko la wanaotamani kumuita mume baada ya kufanya hiki kwa mpenzi wake.

Kupitia ukurasa wa Instagram Kwesta alituma picha ya mkono wenye pete ya uchumba kuonesha kuwa  amemvisha Yolande rasmi na kuweka wazi mitandaoni baada ya wawili hao kuwa katika mahusiano kwa muda usipungua miaka saba.

Kwesta mbali na kuwa wapenzi, Yolande ndiye muangalizi wake wa mavazi hasa katika matukio ya kimuziki na mitindo.

Comments

comments

You may also like ...