Header

Wayne Rooney akumbwa na jinamizi la majeraha

Nahodha wa Klabu ya Man United Wayne Rooney huenda akashindwa kusafiri na timu yake kwenda kuikabili Sunderland FC kwenye mchezo wa Ligi kuu nchini Uingereza EPL utakaochezwa Jumamosi hii.

Wayne Rooney ambae aliukosa mchezo wa jana dhidi ya Everton kunako Dimba la Old Trafford aliumia mazoezini kabla ya mchezo wa jana kitu ambacho kimetia zaidi wasiwasi kunako klabu ya Man United.

Mchezo wa jana uliisha kwa Man United kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya Everton kwenye mchezo wa Ligi kuu Uingereza EPL.

Comments

comments

You may also like ...