Header

WEEEEHHHHH!! HARMO RAPPA Kachokoza Yule Mbaya, Cheki WEMA SEPETU Alivyomtolea Makavu

Msanii HARMORAPA ambaye ana fahamika sasa hivi Kama Mfalme wa kiki, amechokoza yule mbaya, Dada WEMA SEPETU. Muingizaji huyo wa Bongo movies ambaye hivi majuzi alijiunga na chama cha CHADEMA, amemtolea makavu Msanii HARMORAPA kupitia mtandao wake wa Instagram. WEMA ameweka wazi kuwa
Hataki utoto na ujinga wa msanii huyo kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao “DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO?” ameandika WEMA. Hii hapa post nzima ya SEPENGA
https://www.instagram.com/p/BSgGiieh3gy/?taken-by=wemasepetu
“Sijawahi kumchukia yeyote anayehangaika kutafuta riziki yake kwa kuwa nami pia natafuta. Ila mdogo wangu Harmorappa u are getting too much. Pigana na namna utakavyo kupeleka muziki na jina lako juu but get me out of this. Nakuheshimu kama msanii mwenzangu lakini hili la kunadi kunitaka kimapenzi na kuonyesha utayari wa kufanya mambo kadha wa kadhaa kwangu please waambie wengine unaodhani mnawezana ila mimi sio wa aina hiyo. Usiiharibu image yangu niliyoipigania muda wote, usiniharibie heshima yangu ninayoijenga sasa ktk chama changu CHADEMA, usiniharibie kwenye familia yangu, marafiki zangu na usiniharibie kwa niliye nae. Ni utoto na ujinga kuposti kila uchao picha za wanawake eti wanakutaka au unatoka nao *DO U THINK NAMI NI WA AINA HIYO?* Usinidharaulishe…. Nadhani kuna busara ya wewe to look for another one but *AM NOT FOR U* and i hope utanipa heshima yangu kama dadaako, msanii mwenzako *LETS STOP THERE*”.
Hata hivyo huenda alipo sasa hivi Harmorapa anafurahi sana maana lengo lake haswa ni kiki na tayari hii hapa amepewa bonge la shavu ya buree kutoka kwa mwanadada ambaye wengi wanamheshimu na ana following kubwa sana.

Comments

comments

You may also like ...