Header

Eden Hazard Aingamiza Manchester City darajani

Klabu ya Chelsea imeendelea kujiweka kileleni baada ya kuichapa Manchester City kwa magoli 2-1 kwenye dimba la stamford Bridge.

Shujaa wa Chelsea alikuwa Mbeligiji ambaye yuko kwenye kiwango bora sasa Eden Hazard aliyefunga magoli yote 2 huku goli lakufutia machozi kwa Man. city likifungwa  na Sergio Kun Aguero

Kwa Ushindi huo Chelsea wanaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini Uingereza wakiwa na alama 69 wakifatiwa na Totnham yenye alama 62.

Comments

comments

You may also like ...