Header

Kim Kardashian aushangaza ulimwengu

Mke wa rapa Kanye Omary West, host wa vipindi vya Tv na mwanamitindo Kim Kardashian amewashangaza wafanya biashara na mashabiki wake kwa kuanzisha biashara ya kipekee.

Siku ya jumanne Kim Kardashian kupitia tuvuti yake alitangaza biashara ya maboya yanayoweza kutumika kuogelea yenye maubile ya makalio yake yanayouzwa shilingi 98$ ambayo ni sawa na shilingi 218,834.00 za kitanzania pia utalipa 10$ ambayo ni sawa na 22,330.00 pesa za kitazania kwa malipo ya usafirishaji.

Biashara hii ya Kim Kardashian imeitoa katika msimu wa kiangazi kipindi ambacho waliowengi ukitumia kwa mapumziko.

Comments

comments

You may also like ...