Header

Sauti Sol waungana na Bebe Cool

Kundi la wasanii wa muziki kutoka Kenya Sauti Sol waungana na Bebe Cool kwa ajili ya kikubwa kwenda kwa mashabiki muda wowote kutoka hivi sasa.

Kupitia ukursa wa instagram Sauti Sol walituma ujumbe kwa mashabiki kuwa kuna kazi ya pamoja na Bebe Cool na kubainisha kuwa wimbo upande wa audio umekamilika na kinachokamilishwa kwasasa ni video na kupitia picha iliyowekwa mtandaoni inonesha kuwa wako location tayari.

“Squad loading heat ⚡??? | @bebecool_ug | #SautiSol | #MboziZaMalwa | ? #SoonCome ? | #Kenya ?? | #Uganda ??” Ilipost account rasmi ya instagram ya wanakikundi wa Sauti Sol.

Hata hivyo ngoma ya wawili hao inakwenda kwa jina la ‘Mbozi za malwa’ na Bebe Cool anaweza kuwa msanii wa kwanza kutoka Uganda kufanikisha kolabo na Sauti Sol.

 

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...