Header

Thibaut Courtois amtuliza Hazard

Kipa wa klabu ya Chelsea Mbeligiji Thibaut Courtois ameionya klabu yake juu ya kiungo mshambuliaji Eden hazard kutomruhusu kutimka klabuni hapao majira ya joto.

Courtois amaeiambia SkySport kuwa Hazard ni mchezaji muhimu sana kwenye kikosi  na anaitajka sana msimu ujao ili kupigana kunyakuwa taji la klabu bingwa Ulaya

Ningependa kumuona Hazard tuko nae msimu ujao kwani nimchezji muhimu sana kikosini na michuano ya klabu bingwa Ulaya hivo naamini uongozi utambakiasha”  Alisema Thibaut

Hazard ambaye anawindwa na virabu mbalimbali duniani ila Madrid wakioneka wako tayari kulipa poundi milioni 100 kunyakuwa nyota huyo na kueka rekodi ya kuwa mchezaji ghali duniani

 

Comments

comments

You may also like ...