Header

Wachezaji wa Yanga Wajiandaa Kugoma

Tetesi kutoka ndani ya klabu ya Yanga zinasema kuwa Wachezaji wa timu hiyo wako tayari kugomea mchezo wa kombe la shirikisho dhidi ya Mc Alger wikiendi hii.

Katibu mkuu wa Yanga Charles Boniface Mkwasa ameiambia Dizzim Online kuwa tetesi hizo sio za kweli na kwasasa wachezaji wanadai mshahara wa mwezi mmoja na wana matumaini wachezaji hawawezi kugomea mchezo.

“Tunatambua kuwa tunadaiwa na wachezaji wetu kwa mwezi mmoja na kwakwel ntashangazwa sana kama watagomea mchezo huo siku ya jumamosi kwani wanaelewa hali harisi ya timu yetu” Alisema Katibu Mkuu Mkwasa

Comments

comments

You may also like ...