Header

‘Watanzania wanapenda sana umbea’ – SHILAWADU

Ukizungumzia kipindi kinacho fanya vizuri kwenye Tv za Tanzania na ambacho kila siku kinaongeza idadi ya mashabiki huwezi kuacha kipindi cha D’Wikiendi Chat Show ambacho kinaruka kila Ijumaa kupitia Clouds Tv ambacho kinadili na Umbea.

Dizzim Online imepiga story na watangazaji wa kipindi hicho ambao ni Kwisa pamoja na Soudy Brown wamedai kuwa sababu ya wao kufanya vizuri ni kutokana na watanzania wengi Kupenda umbea .Msikilize hapa chini Sou

Comments

comments

You may also like ...