Header

Dj Khaled aahidi makubwa kwenye album yake ya ‘Grateful’

Major key ni album ya tisa ya Dj Khaled aliyoachiwa Julai 29 mwaka jana kutoka studio za We the best music group na Epic Records iliyowashirikisha wasanii maarufu kama vile Future, Big Sean, Rick Ross, Jay Z, Drake, Nas, Kendrick Lamar, Chris Brown, Gucci Mane, Fat Joe, Kent Jones, Lil Wayne na wengine kibao.

Album alipata push na baadhi ya ngoma kama vile for free, i got the keys, Holy Keys, Do you mind na nyinginezo nyingi.

Ni ablum iliyofanikiwa kufika nafasi ya kwanz kwenye chati za billbord ya album 200 bora na mwaka 2016 ilichukua tuzo ya Grammy kama ablum bora ya hip hop.

Shining ni ngoma ya kwanza na pekee kuachiwa kutoka kwenye album ya Dj Khaled ainayotegemewa hivi karibuni ambapo album inakwenda kwa jina Grateful.

GOD IS THE GREATEST !! These plaques is all off one ALBUM !! #MAJOR?!! THE ALBUM #GOLD on its way to be PLATINUM !! #FORFEE #PLATINUM on its way to be double very soon! #IGOTTHEKEYS #PLATINUM!!! #DOYOUMIND #PLATINUM!! #GOLD ALBUM 3 #PLATINUM SINLES OFF ONE ALBUM!! FAN LUV #GRATEFUL THE ALBUM ON ITS WAY !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! @wethebestmusic @epicrecords @rocnation ??????? THIS THE RESULTS YOU GET WHEN YOU HAVE LOVE IN YOU CLEAN HEART CLEAN SOUL !! LOVE IS THE ? LOVE IS THE ANSWER ! ITS @wethebestmusic #GRATEFUL THE ALBUM COMING!! DID THE @champagnepapi vocals come in yet!!!!!!!” Alipost Dj Khaled.

Taarifa rasmi za ujio wa album hii zimesambaa kupitia ukurasa wa instagram wa Dj Khaled baada ya kuorodhesha ngoma zake za nyuma na heshima ziliyopata kisha alimalizia kwa kusema kuwa album ya #GRATEFUL iko njiani !na kutag @wethebestmusic, @epicrecords na @rocnation.

Comments

comments

You may also like ...