Header

Hizi ndiyo Changamoto zinazoikabili @WasafiDotCom kwa kipindi hiki kifupi tangia kuanzishwa kwake (+video)

Ni miezi miwili sasa imepita tangia website ya Wasafi Dot Com ifunguliwe  rasmi na kuanza mchakato wa kuuza kazi za Wasanii wa Muziki lakini tayari changamoto zimeanza kujitokeza.

Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz Ambae ndiye mmiliki wa mtandao huo amesema changamoto zipo nyingi hivyo kuna kila sababu ya Serikali kutia mkono ili kutatua changamoto hizo,Msikilize hapa chini Diamond akizitaja changamoto hizo zinazoikabili Wasafidotcom 

Comments

comments

You may also like ...