Header

Huu ndo mkwanja anaoingiza Beyonce kwa post moja ya Instagram

Maisha ya watu maarufu ufuatiliwa na wengi na watu wenye mapenzi na anachokifanya na ulimwengu wa sasa imekuwa rahisi kupitia mitandao ya kijamii na mke wa rapa mahiri duniani Jay-Z muite Beyonce imekuwa wazi ni kiasi gani unaweza kulipia ili aweke post yako kwenye akaunti yake ya Instagram.

Ripoti kuhusu malipo anayopokea Beyonce kwa kila post kwemye ukurasa wake wa instagram ni milioni moja pesa za kimarekani kwa kila tangazo.

Hata hivyo Beyonce mbali na kuzidiwa wafuati na Selena Gomez haijamzuia kuwa na nguvu zaidi ya kufuatiliwa katika mitandao yake na kulipwa zaidi ya mtu aliye na wafuasi wengi kabla na mara baada ya kujifungua.

 

Chanzo: Bet

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...