Header

Kendrick Lamar asogeza mbele tarehe ya kuachia album yake mpya

Baada ya kutangaza kuwa leo tarehe 07-April anaachia Album yake mpya Rapa Kendrick Lamar kutoka Marekani ameahirisha kuachia album hiyo inayosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa muziki wa Hip Hop.

Kendrick Lamar hajaweka wazi sababu za kughaili kuachia album hiyo ila ametangaza kuwa ataachia album rasmi wiki lijalo  tarehe 14 na kwenye album hiyo kutakuwa na nyimbo 14 ukijumlisha na wimbno wake mpya wa ‘Humble’.

Album hiyo ambayo hajaipa jina rasmi mbali na lile la ‘ALBUM’ itaanza kupatikana kwenye iTUNES  kwanza .

 

Comments

comments

You may also like ...