Header

Rapa Tyga akusanya kila kilicho chake

Rapa Tyga tangu kusambaa kwa taarifa za kuachana na mpenzi wake Kylie Jenner sasa Tyga afanya maamuzi ya kiume.

Kwa mujibu wa ‘Us Weekly’ Rap City hitmaker ‘Tyga’ amefanya maamuzi ya kwenda nyumbani kwa Kylie Jenner na kuchukua kila kilicho chake baada ya kuonesha kuwa kuna uwazi wa wawli hao kuachana kabisa.

Hata hivyo kuachana kwa wawili hao mara hii ni mara ya tatu na kinachosemekana ni kwamba mwaka jana Mother’s Day Tyga alionekana kutoka kwa mlo na mama yake pamoja na mwanamitindo jambo ambalo haijafahamika kama ni mpenzi wake mpya.

Comments

comments

You may also like ...