Header

RC Paul Makonda awatoa hofu Watanzania

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mh Paul Makonda amewatoa hofu watanzania juu ya Sakata linaloendelea la kutekwa na kupotea kwa Rapa Roma Mkatoliki na mwenzie Moni Central Zone ambao walitekwa siku mbili zilizopita.

Leo jioni RC Makonda ameongea na waandishi wa habari Ofisini kwake na kuzungumzia sakata hilo ambapo amesema kuwa hana majibu yoyote ya kutoa kwasasa ila amewatoa hofu kuwa mpaka jumapili watu hao watakuwa wamepatikana,Mtazame hapa chini akiongea na Waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam

 

Comments

comments

You may also like ...