Header

Hivi ndivyo Roma na Wenzake walivyopokelewa Mwananyamala baada ya kuachiwa huru (Video+Picha)

Baada ya watanzania kupata faraja kubwa kwa taarifa za kupatikana kwa Rapa Roma Mkatoliki na wenzake mapema mchana wa leo Wasanii na ndugu wa karibu wa wahanga hao wamefurika kuelekea kituo cha Polisi cha Oysterbay na baadae kuelekea hospitalini Mwananyamala ambako walienda kupimwa afya zao.

Tazama hapa chini picha za matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye mapokezi hayo

 

Comments

comments

You may also like ...