Header

Kamusoko awangamiza Waarabu Taifa

Klabu ya Yanga yaanza kutumia vzuri nyasi za uwanja wa Taifa kwa kuwalaza Waarabu wa Alger kwa bao 1-o nakufufua matumaina ya kutinga atua ya makundi.

Goli pekee la Yanga limefungwa na kiungo mkabaji Thaban Kamusoko dakika ya 66 ambaye amesumbuliwa na majeruhi siku za hivi karibuni na kumfanya kukosa baadhi ya mechi za ligi kuu na za kimataifa.

Yanga wanatarajia kwenda kurudiana na MC alger wikiendi ijayo nchini Alger

Comments

comments

You may also like ...