Header

Yanga yatangaza kikosi cha Maangamizi dhidi ya Waarabu

Klabu ya Yanga imetangaza kikosi kitakacho vaana na Klabu ya MC Alger leo jioni majira ya saa 10:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki kunako Dimba la uwanja wa Taifa.

Kwenye kikosi hicho Kelvin Yondani hatakuwepo kutokana na majeruhi kikosi hicho kitakuwa na wakali wake wote ambao watapambana kuhakikisha ushindi unasalia kwenye Ardhi ya Tanzania,Tazama kikosi kamili hapa chini

1. Deogratius Munishi
2. Hassani Kessy
3. Haji Mwiji
4. Nadir Haroub
5. Vicent Bossou
6. Juma Saidi
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Obrey Chirwa
10. Haruna Niyonzima
11. Deusi Kaseke
Akiba
– Beno Kakolanya – Juma Abdul – Andrew Chikupe
– Emanuel Martin – Geofrey Mwashuiya
– Donald Ngoma

Comments

comments

You may also like ...