Header

Jay Z aziondoa nyimbo zake kwenye mtandao wa Spotify

Jay Z ameamua kuziondoa baadhi ya nyimbo zake kutoka kwenye mtandao wa Spotify ambao ni mshindani wa mtandao wake wa kustream muziki, Tidal.

Muziki uliotolewa ni pamoja na album ya ushirikiano na R Kelly Unfinished Business (2004) na Best of Both Worlds (2002). Pia nyimbo zilizoondolewa ni pamoja na N—-s in Paris” (Kanye featuring Jay), “Numb/Encore” (Linkin Park with Hova), “All the Way Up” (Fat Joe and Remy Ma ft. French Montana, Infared and Jay Z), “Clique” (Big Sean with Jay Z and Kanye) na “Dirt Off Your Shoulders” (with Notorious B.I.G.).

Billboard iliwatafuta Spotify na Jay Z na walipata jibu toka kwa Spotify, ambao walisema “some of his catalog has been removed at the request of the artist.”

Comments

comments

You may also like ...