Header

Pepe Kuwakosa Bayern Munich

Beki wa kati wa klabu ya Real Madrid Pepe ataikosa mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya  baada ya hapo jana kugongana na mchezaji mwenzake Toni Kroos.

Pepe atalazimika kukaa nje baada ya kuvunjika mbavu wakati alipogongana na mchezaji mwenzake Toni Kroos wakati wakiwania mpira katika mechi ya La Liga dhidi ya Atletico Madrid ambako mchezo huo uliisha kwa sare ya bao1-1.
Mapema leo vipimo vimeonyesha Pepe amevunjika mbavu  na mara moja ametolewa kwenye list ya wacheaji watakaocheza mechi hiyo ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munch.

Comments

comments

You may also like ...