Header

Jinamizi la mapenzi lamuandama Mariah Carey

Muimbaji mahiri kutoka marekani Mariah Carey anayefanya vizuri na kaziI Don’t’ aliyomshirikisha rapa YG ameizamisha meli ya mahaba ya mpenzi wake Tanaka na chanzo kikiwa ni mpenzi wake wa zamani.

Mariah Carey walipigana chini na Bryan Tanaka kisa kikubwa ni wivu uliopitiliza na tetesi zikisema kuwa kinanchoendelea kinaonesha uwezekano wa Nick Cannon wanamahusiano ya karibu sana huku wakisingizia kinachowaunganisha ni watoto wao mapacha.

Brayan Tanaka alipost kupitia ukurasa wake wa Instagram picha inayomuonesha kuwa na furaha na kuambatanisha maneno yenye ujumbe unaosema “baki pekee yako na uendelee na maisha yako ya mahusiano yako”

Hata hivyo Tanaka amekuwa akishuku mahusiano yanayoendele kati ya Mariah Carey na Nick Cannon kwakuwa kuna kipindi walisemekana kutoka out katika mlo wa pamoja na mazingira waliyokuwa hawakuwa na watoto kaama ilivyotazamiwa.

 

 

Comments

comments

You may also like ...