Header

Nay wa Mitego atupa jiwe gizani

Msanii wa Hip hop nchini Tanzania Nay wa Mitego ametuma ujumbe mzito kwa msanii ambae hajamtaja kwa jina ila kamuita kuwa ni msaliti.

Nay wa Mitego ambae wiki mbili zilizopita alikumbwa na pata shika baada ya kuachia wimbo wake mpya wa ‘WAPO’ kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe ulioonekana kabisa kumlenga msanii ambae amewasaliti wasanii kwa kusema umetusaliti mpaka Wana?
“Unatuchezea Sinema mpaka wana.?! F***k.! Njaa zitatuua.”Aliendelea kuandika Nay wa Mitego.
“Una Sign mkataba wa kucheza Sinema yenye  Quality Mbovu, Tena inayo Rekodiwa kwa Camera ya Simu.?! Unategemea nini.? Nakuvua vyeo ata Kama Mkataba ni Mnono, Itaku Cost tu na utayumbisha Career yako.!Mwana Katoa Bokoo??.!”Ameandika Nay wa Mitego.

Bado hajaweka wazi ni nani msaliti kwani ametupa jiwe gizani na bado halijamfikia muhusika. 

Comments

comments

You may also like ...