Header

Haya ndiyo maelezo kamili ya Roma aliyoyatoa kwa Waandishi wa habari kuhusu kutekwa kwao.

Msanii Roma Mkatoliki ameyajibu baadhi ya maswali ya waandishi ambao walikua wanahoji juu ya sehemu alikokuwa na ilikuaje mpaka kuchukuliwa akiwa studio,ingawa maswali mengine hajawa tayari kuyajibu kwa kueleza kuwa sababu za kiusalama na upelelezi waliouwasilisha polisi unawabana kuzungumza kila kitu.

Hivi ni baadhi ya vitu alivyovizungumza Roma akiwa na waandishi wa habari.

Comments

comments

You may also like ...