Header

Wekundu wa Msimbazi warejea kileleni kwa kishindo

Wekundu wa Msimbazi Simba Sports Club wamerudisha matumaiin ya Ubingwa baada ya kutoka nyuma kwa goli 2 bila nakupata ushindi wa goli 3-2.

Mpaka kipindi cha kwanza kinaisha Simba yuko nyuma kwa goli 2 ambazo zilifungwa na Sangija na Benard na kufanya Mnyama akimaliza kwa kuwa nyum ampaka kipindi cha kwanza kinaisha.

Simba walitoka nyuma na kushambulia kwa kasi na kuweza kupata goli 2 zilizofungwa na Muavory Cost Fedirick Blagnon ambaye alifunga magoli 2 huku goli la ushindi likifungwa na Mzamiru dakika za jioni

Kwa ushindi huo Simba imerejea kileleni kwa kishindo na kuwarudisha Watan wao wajadi Yanga nafasi ya pilikwenye msimao wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

Comments

comments

You may also like ...