Header

“Why Bring BURNA BOY When You Have NAIBOI” – NAIBOI

Msanii mkali wa nchini Kenya NAIBOI ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘Too Much Remix’ akiwa amemshirikisha FUSE ODG, amekejeli baadhi ya ma promoters na event organisers ambao huleta wasanii toka nje alafu mwishowe wanakuwa ‘disappointed’ ilhali humu nchini kuna wasanii ambao wana uwezo mkubwa. Akijibu swali la FUNDI FRANK kuhusu story ya BURNA BOY hivi majuzi ndani ya Club Tribeka, mkali huyo wa hitsong ya ‘Problem’ alijibu ‘Why bring BURNABOY when you have NAIBOI’.

Comments

comments

You may also like ...