Header

Wizkid kuiwakilisha Afrika Billboard Music Awards

Orodha ya mastaa walioingia katika nominee raundi ya kwanza ya tuzo kubwa duniani za Billbord zitakazofanyika jumapili tarehe 21 ya mwezi May, 2017 imetoka kama ifuatavyo.

Top Male Artist
Justin Bieber
Drake
Future
Shawn Mendes
The Weeknd

Top 100 Song
“Closer” – The Chainsmokers feat. Halsey
“Don’t Let Me Down” – The Chainsmokers feat. Daya
“One Dance” – Drake feat. Wizkid & Kyla
“Can’t Stop the Feeling” – Justin Timberlake
“Heathens” – Twenty One Pilots

Top Female Artist
Adele
Beyonce
Ariana Grande
Rihanna
Sia

Wizkid ameiwakilisha Afrika kupitia kolabo aliyoshirikishwa na Drake na mpaka sasa ni msanii pekee anayeliwakilisha bara la Afrika.

Comments

comments

You may also like ...