Header

Basi la Borussia Dortmund la shambuliwa na bomu

Basi la wachezaji wa Borussia Dortmund limeshambuliwa na imeelezwa kuwa  kumekuwa na milipuko japo sio mikubwa sana milipuko hiyo imempelekea beki Marc Bartra kuumia na kupelekwa hospitali kwa matibabu zaidi baada ya kuumizwa na vioo.
Hali hiyo imesababisha mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati ya Dortmund dhidi ya Monaco kusogezwa leo Jumatano.
Mechi hiyo sasa itachezwa leo Jumatano lakini itakuwa mapema zaidi lakini mpaka aijafamika sababu yakuwepo kwa mlipuko huo.

Comments

comments

You may also like ...