Header

Dybala apeleka kilio Nou Camp

during the Serie A match between Juventus FC and UC Sampdoria at Juventus Arena on May 14, 2016 in Turin, Italy.

Vinara wa Ligi Kuu nchini Italy Juventus ya Tulin imeiutumia vzuri uwanja wake wa nyumbani baada ya kuichapa Barcelona kwa goli.3-0 kwenye mchezo wa robo fainali Klabu Bingwa Barani Ulaya.

Shukrani zote zinamwendea Muargentina Paulo Dybala ambae kwa sasa amekuwa kwenye kiwango bora huku akizitoa udenda timu kubwa kama Real Madrid, Chelsea na Barcelona kuitaji kumsaini.

Dybala amekuwa shujaa baada ya kutupia goli mbili kwenye mchezo huo akifunga dakika ya 7 na 22 huku beki kisiki wa timu hiyo Chiellin akifunga goli la tatu mnano dakika 52

Mchezo kati ya Dortmund dhidi ya Monaco umeshindwa kufanyika baada ya bomu kulipuka karibu na bus la wachezaji wa Dortmund na kusababisha mchezaji mmoja kuumia.

Comments

comments

You may also like ...