Header

Joowzey atoboa siri ya kufanana kwa location za video za Bongo

Muongozaji wa video za muziki kutoka Tanzania Joowzey awalalamikia wanaojiita location managers kwa kinachoendelea katika kufanana fanana kwa baadhi ya vitu kwenye video za wasanii wa Tanzania.

Akizungumza na Dizzim Online Joowezy amesema kuwa matatizo ya namna hiyo yanasababishwa na baadhi ya watu jambo ambalo linafanya ionekane kutokuwe kwa umakini katika kazi hasa upande wao kama waongozaji.

 

 

 

 

Comments

comments

You may also like ...