Header

Kylie Jenner apata show yake ya TV ‘Life of Kylie’

Kituo cha runinga cha E! Entertainment kinakuja na show ya Kylie Jenner. Msimu wa kwanza wa show hiyo iliyopewa jina Life of Kylie utakuwa na episode nane na utaanza kuruka baadaye mwaka huu.

Show yake itaangaza maisha yake kama mrembo, mjasiriamali katika mitindo, mbunifu wa mavazi na nyota kwenye mitandao ya kijamii.

Pia itaonesha maisha akiwa na rafiki yake Jordyn Woods. “With over 100 million followers across Instagram, Twitter and Snapchat, people feel they already know Kylie, but this series will allow her fans and the public to see behind-the-scenes of her ever-expanding world,” yamesema maelezo ya E!

“This show will allow me to give them a peek inside all of the exciting things I am working on as well as some personal time with friends,” alisema Kylie.

Show hiyo inatayarishwa na Bunim/Murray Productions na Ryan Seacrest Productions ambao wanahusika na kutengeneza Keeping Up with the Kardashians.

Comments

comments

You may also like ...