Header

Miriam Odemba atamba mbele za mamodo wa Tanzania

Aliewahi kuwa miss Tanzania na mwanamitindo wa kimataifa Miriam Odemba  amedai kuwa  haoni kama kuna modo kutoka Tanzania ambae anaweza kufata nyayo zake kwa sehemu ambayo yeye amefikia

Akizungumza na DizzimOnline Odemba amesema kuwa yeye anamiaka mingi kwenye tasnia zaidi ya miaka 21 lakini pia yeye ndiye modo wa kwanza kutoka nje ya Tanznia kufanyakazi na kingine hawana uzoefu kama alionao yeye hivyo ni ngumu kufata nyayo zake.

Comments

comments

You may also like ...