Header

Sex tape ya Davido yavuja mtandaoni mwenyewe atolea ufafanuzi,Mimi Mars,JB nao wamemiliki stori 5 za Leo pitia hapa

Kila siku jukumu letu ni kukufanya usipitwe na habari zetu kubwa za leo na moja ya stori zilizo Trend zaidi mitandaoni nile ile ya video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha mtu mwenye sura na sauti kama ya Davido akicheza michezo ya kikubwa huko Afrika Kusini ambako Davido nae yupo huko kwa wiki mbili sasa.

Pitia hapa stori zetu kubwa za leo kwa mtindo wa Video

Comments

comments

You may also like ...