Header

Breaking News: Charlie Murphy afariki Dunia

Mchekeshaji na kaka mkubwa wa mchekeshaji wa Eddie murphy amefariki akiwa na umri wa miaka 57.

Kwa mujibu wa maneja wa Charlie amesema kuwa amefariki mapema leo kwa kansa ya damu (leukemia) katika hospitali ya NYC.

Charlie Murphy na Eddie Murphy

Charlie amepata umaarufu mkubwa kupitia “Chappelle’s Show” na pia kuhusika katika uandishi wa baadhi ya movie za kaka yake Eddie Murphy ambazo ni pamoja “Norbit” na “Vampire in Brooklyn.”

 

 

Kikubwa cha mwisho alichokifanya Charlie ni tour aliyofanya na Cedric the Entertainer, Eddie Griffin, George Lopez na D.L. Hughley kwenye “The Comedy Get Down.”.

Hata hivyo Charlie ameshiriki katika series kubwa aliyoshikiri rapa 50 Cent na mpaka anafariki alikuwa anafanya katika kituo cha urushaji vipindi vya uchekeshaji (Comedy Central).

Comments

comments

You may also like ...