Header

Dj Khaled na mwanae Asahd wang’arisha cover la XXL Mag

Dj Khaled ana furaha kubwa kuwa baba na haoni noma kuonesha jinsi anavyompenda mwanae wa kiume mwenye miezi mitano, Asahd.

Kuonesha kuwa hatanii, amemtaja kama mtayarishaji mkuu wa album yake ijayo, Grateful itakayotoka mwaka huu.

Jarida la XXL limewapa shavu Khaled na mwanae na kuwaweka kwenye cover. Ndani yake Khaled amezungumza issue kibao kama vile kuwa baba, familia na mengine.

Comments

comments

You may also like ...