Header

MTV Base yawaona Jux na Ben Pol

Muziki wa bongo fleva kwasasa unazidi kukua kwa kasi kiasi cha vituo vikubwa Afrika kutoa support kwa wasanii wanaowakilisha, na hii yote ni kutokana na juhudi za wasanii Tanzania kutoa kazi nzuri zinazokubalika.

MTV Base tawi la Afrika Mashariki imetoa orodha ya wasanii wanne wa R&B kutoka Afrika mashariki wa kuwasikiliza zaidi kweye katia hatua zao kimuziki ikiwa ni pamoja n Ben Pol na Jux.

“East Africa is churning out some seriously good music right now and a lot of it is coming in the R&B sector. If you’re excited about the future of this genre, we’ve compiled a list of four R&B singers that you need to add to your library” ailipost MTV Base East.

Kuhusu Ben Pol na Jux, hiki ndio walichosema
Ben Pol – Tanzania: Ben has been widely hailed as Tanzania’s “King of R&B” and with good reason too. His lengthy career has seen his name gain recognition around the continent and he’s definitely one of the strongest artists in his country.

Juma Mussa (JUX) – Tanzania: Last but not least we have Juma Mussa AKA Jux. JUX has been on the scene for a minute and recently recorded a single with Vanessa Mdee.

Hata hivyo hii ni dalili tosha muendelezo mzuri wa kuwa na wawakilishi wengi wenye uwezo mkubwa wa kimuziki kutoka Tanzania kwenye kimataifa zaidi kupitia muziki.

Comments

comments

You may also like ...