Header

Mwana Fa apokea simu na Rais Magufuli kwa mara ya kwanza.

Rais wa Jmahuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amempigia simu msanii wa muziki wa hip hop Mwana Fa na kumpa sifa kedekede huku akiusifia wimbo wake wa Dume Suruali.

Mwana Fa katika ukurasa wake wa twitter ameandika >>’nimefurahi kupokea simu ya Mheshimiwa Rais @MagufuliJP kunisalimia na kuniambia yeye ni mpenzi wa kazi zangu,haswa #DumeSuruali..’

 

Comments

comments

You may also like ...