Header

Ozil alilia umoja ndani ya Arsenal

Mesut Ozil ameibuka na kusema kuwa nilazima waungane kwa pamoja ili kuakisha wanapata kuingia kwenye nafasi nne za juu huku akisisitiza juu ya kubaki kwa Mzee Wenger.

Akizungumza na wandishi wa habari Ozil amesema nilazima kuungana kwa pamoja na kupigana kupata nafasi nne za juu ili kumfanya hata kocha wao Mzee Wenger kuwa sehemu salama klabuni hapao hata kwa mashbiki pia.

“Tunaitajika kuwa wamoja na kupamba kwa nguvu ili kuakikisha kuwa tunapata nafasi nne za juu kwani tukishindwa kufanya hivyo ata kocha atakuwa nafasi mbaya kwa mashabiki.Alisema Ozil

Ozil ambaye kwa sasa amekuwa akiandamwa na maneno ya mashabiki kutoka na kiwango chake kushuka sana haswa pale aliposhindwa kuipatia Arsenal matokeo dhidi ya Man City.

Comments

comments

You may also like ...