Header

‘Sioni kasoro kwa Naj’ – Barakah The Prince

Msanii wa Bongo Fleva Baraka The Prince amefunguka na kumzungumzia mke wake Naj kuwa ni mwanamke wa kipekee ambae hajawahi kumuona katika maisha yake na kwenda mbali zaidi kuwa haoni kasoro yoyote kwa mrembo huyo.

Barakah The Prince amesema haoni kasoro kwa mrembo huyo ndiyo maana penzi lao linaendelea kuchanua kila kukicha ingawaje kuna watu hawapendi kumuona akiwa nae hii imekuja baada ya minong’ono nong’ono kuwa wawili hao haziivi.

Mimi sioni kasoro kwa Naj kwani siwezi kuishi na mwanamke mwenye kasoro ndiyo maana tunazidi kupendeza kila siku,Namuona ametimilika“Alisema Barakah The Prince kwenye mahojiano yake na East Africa Radio.

Comments

comments

You may also like ...