Header

Ukiachana Na Wolper, Huyu Ndiyo Mrembo Anaemvutia Harmonize

Msanii Harmonize tokea label ya WCB ambaye sasa hivi anafanya vizuri na kazi yake mpya ‘Niambie’, hapo jana kupitia kipindi cha Mambo Mseto ya Radio Citizen kinachoongozwa na MZAZI WILLY M TUVA alifunguka mengi sana, mojawapo ni swali ambayo aliulizwa na SAMEER BRY, Suppose Kama Haugekuwa na @wolperstylish alafu ibidi uwe na mchumba wa hapa Kenya ni mrembo Mgani Wa humu Nchini Kenya ambaye huwa ana ‘Kugusa’ kinyama??
“……Kenya kuna watoto wazuri kabisa….. ***laughs**….mtoto VERA hivi…. mtoto MONROE hivi….wako wengi bana, wote wako sawa”, kuhusu Wasanii wa kike Wanaoimba je?” Harmonize alijibu kwamba hajafuatilia sana wasanii wa kike wa humu nchini.

Comments

comments

You may also like ...