Header

Wiz Khalifa aja na video game ‘Weed Farm’

STUDIO CITY, CA - MARCH 09: Rapper Wiz Khalifa attends the 11th Annual Stars and Strikes Bowling Tournament at PINZ Bowling & Entertainment Center on March 9, 2017 in Studio City, California. (Photo by Rodin Eckenroth/Getty Images)

Wiz Khalifa anakuja na video game yake. Ameungana na kampuni ya Metamoki kutengeneza game yake ambayo ameipa jina Weed Farm (Shamba la Bangi).

“Ni game zuri sana, nalicheza muda wote, ni zuri zaidi ya Pokémon,” amesema rapper huyo. Game hilo limejikita kwenye masuala ya ukuzaji, uvunaji na uuzaji wa bangi, mmea anaoupenda sana rapper huyo.

Weed Farm litazinduliwa rasmi April 20. Pia mashabiki watapata zawadi mbalimbali ikiwemo kutembelea zahanati yake ya Khalifa Kush na kuzunguka naye kwenye ziara ya Wellness Retreat huko Colorado, April 23.

Comments

comments

You may also like ...