Header

Tazama picha za Samwel Etoo alivyowatembelea P-Square nyumbani kwao (+Picha)

Mchezaji wa Zamani wa klabu ya Barcelona anaekipiga kunako klabu ya  Antalyaspor ya huko Uturuki jana alitua nchini Nigeria kwa ajili ya mapumziko ya sikukuu ya Pasaka na alivyokuwa huko alipata bahati ya kuwatembelea P-Spuare.

Na hapa kuna picha jinsi Peter Okoye na familia yake walivyofurahia ugeni huo,Ambapo miaka ya nyuma Peter alishawahi kukutana nae jijini London nchini Uingereza kipindi hicho alikuwa akikipiga kunako klabu ya Chelsea.

                 Mke wa Peter Okoye na Etoo

      Etoo akiwa familia ya Peter Okoye

Comments

comments

You may also like ...