Header

Nikki wa Pili aliponda Soka la Bongo

Msanii kutoka Weusi Kampuni Nikki wa Pili ametupa jiwe gizani baadaya ya klabu ya ke Manchester United kuiangamiza Chelsea kwa goli 2-0.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nikki alitoa sababu za kuwa mpenzi mkubwa wa Ligi ya Uingireza  kuwa mpira unachezwa uwanjani sio kama Tanzania mpira unachezwa nje ya Uwanja.

Nikki wa Pili kupitia Twitter hiki ndicho alichokiandika “Tunapenda epl, coz mpira unachezwa  uwanjani, Bongo mpira mnataka kuucheza nje ya uwanja, bla bla tupuu… ligi ya kulevya”

Kauli ya Nikki inaoneka kuwalenga TFF aswa kamati ya Masaa 72 ambayo wiki iliyopita iliwazawadia Simba pointi tatu kutoka kwa Kagera Sugar kwa kudaiwa kumchezesha Mohamedi Fakhi mwenye kadi 3 za njano>

Comments

comments

You may also like ...