Header

WAFAHAMU MASTAA 5 DUNIANI WALIOZALIWA SIKU YA PASAKA AKIWEMO ALIYEFARIKI CHRISTIMASI

Pasaka ni  siku muhimu duniani kote ambapo wakristo wengi uungana kusherekea siku hiyo kama siku ya kumbukumbu ya kufufuka kwa Yesu Kristo kwa waamini wa dini ya ukristo.

Wafuatao ni mastaa baadhi duniani wanaosherehekea siku ya kuzaliwa kama ya leo (Tarehe 16, Mwezi 4 miaka kadhaa iliyopita)

CHANCE THE RAPPER.

Chancelor Johnathan Bennett a.k.a Chance the Rapper ambaye ni mtayarishaji, muadishi wa nyimbo,muimbaji na rapa kutoka marekani aliyezaliwa West Chatham katika mji wa Chicago, Illinois.

Zaidi na habari kubwa iliyomhusu Chance The Rapper hasa mwanzoni mwa mwaka jana ni ushindi kwake wa tuzo za Grammy zilizofanyika Los Ageles Marekani.

Chance The Rapper akipokea tuzo ya Grammy

Chance katika tuzo za msimu huo wa 59 aliibuka mshindi  kipengele cha Mwanamuziki bora chipukizi/best New Artist ambapo katika kuipokea tuzo hiyo alikabidhiwa rasmi na mwimbaji Jennifer Lopez.

 

AKON.

Ni mtayarishaji, rapa, muimbaji na muigiaji anayemiliki wa record lebo ya Konvict Muzik na kampuni ya burudani ya usambazaji ya Kon Live Distribution mwneye asili ya Senegal kutoka nchini Tanzania ameshawahi kushirikiana na msanii Mayunga baada ya kuibuka mshindi wa shindano la AIRTEL TRACE MUSIC STAR katika fainali zilizofanyika nchini Kenya mwaka 2015.

Akon alipokutana na Rais Kenyatta kuhusu Projrct yake ya “Akon Angaza Afrika”

Akon anaendelea na mradi wake wenye mpango maalumu wa mafunzo unaoitwa “Akon Angaza Afrika” ambao una lengo la kutumia nguvu ya jua kuzalisha umeme huku akiwa na matumaini ya kuwafikia watu milioni 600 barani wa Afrika.

 

ELIZABETH MICHAEL(LULU)

Elizabeth Michael msanii wa maigizo kutoka Tanzania na mshindi wa tuzo za AMVCA 2016 kama Best Movie (Eastern Africa) na movie yake ya “Mapenzi” tuzo zilizofanyika Lagos Nigeria.

Vile vile Lulu amakuwa ni mtu wmeye vipaji vingi ikiwa ni pamoja na uweo wa utangazaji kwakuwa alishafanya kazi kama mtangazaji akiwa na umri mdogo wa miaka 5.

 

MARTIN LAWRENCE.

Martin Lawrence

Martin Lawrence ni muigizaji na mchekeshaji maarufu na mkubwa dunia ambaye katika soko la wapenzi wa filamu za action na vichekesho kuna ujio wa movie inayotajwa kuja kuwa kubwa aliyoshirikiana na Will Smith inayokwenda kwa jina Bad Boys 3 ambayo mwaka ilitangazwa rasimi  kuwa movie hiyo itingia sokoni kati ya February 17, 2017 mpaka June 3, 2017.

 

CHARLIE CHAMLIN.

Muigizaji marehemu Charlie Chaplin

Charlie Chaplin muigizaji na mtayarishaji maarufu sana wa vichekesho visivyo na sauti aliyefariki siku ya christmasi (25 Desemba 1977). Kunilingana historia ya maisha yake Charlie Chaplin alizaliwa pasaka na kufariki Christimasi.

 

Comments

comments

You may also like ...