Header

Black Coffee: Usher alikataa kufanya kazi na mimi kwa kudai muziki wangu si wa Kiafrika

Wimbo wake kurudiwa na Drake na kuwekwa kwenye albamu ya More Life, hakumaanishi kuwa Dj Black Coffee hakutani na vigingi tena. Producer na DJ huyo wa Afrika Kusini, amesema alitaka kumshirikisha Usher lakini alitoswa. Kisa? Usher anasema muziki wa Black Coffee si wa Kiafrika vya kutosha.

“While I was in New York, I met up with Usher’s manager,” amesema DJ huyo kwenye mahojiano na Metro FM. “Obviously, [he said], ‘let’s work, let’s work, we like the African vibe.’ I’m like, ‘Cool, let’s do it.’”

Black Coffee ameeleza kuwa baada ya meneja kumskilizisha nyimbo Usher, alimweleza dj huyo kuwa Usher amegoma kufanya naye kazi sababu wimbo aliomtumia haukuwa wa Kiafrika.

“No, he thinks the song is a bit too modern, he wanted something African,” alisema meneja huyo.

“I’m like maybe not,” amesema Black Coffee, ambaye alishangazwa na maneno ya Usher.

“I don’t know what Africa is to him, but to me Africa is something different, we’re not in the jungle right now, you know. Africa is different, Africa is a totally different place. For other people, they still wanna hear the bongos and the congas,” aliendelea kusema.

“I’m cool to do that, but only if it fits. For me if I wanna do something with you, this is the vision I have, you know. So, the song might not happen because I’m not African enough.”

Comments

comments

You may also like ...