Header

Chance The Rapper azawadiwa ngoma na kaka yake

Rapa Taylor Bennetn katika kusherehekea kuzaliwa siku ya tarehe yenye mfanano wa kuzaliwa kwa kaka yake siku ya jana(Easter Sunday) Chance The Rapper, aliamua kumfanyia kitu maalum kama ishara ya upendo kwa ndugu yake.

Taylor alimzawadi Chance The Rapper kwa kuingia studio na kurecord wimbo maalum alioupatia jina la “Only Brother (Remix maalumu),” iliyoachiwa rasmi siku ya pasaka jana (April 16).

Mtayarishaji wa wimbo huo ni The LudLow amabapo alichota idea kutoka kwenye mixtape ya Chance The Rapper ‘Coloring book’ na ngoma hiyo iliyomiliki dakika 3:35 za upendo kwa kaka Chance The Rapper zilionyesha wazi kuwa kuna mchango kwenye maisha ya Bennett kutoka kwa Chance The Rapper.

Isikilize ngoma hiyo maalum kwa Chance The Rapper.

Comments

comments

You may also like ...