Header

Makomando waupiga kibuti uchawi

Kundi la muziki wa bongo fleva wanaofanya vizuri na ngoma yao ‘Saula’ wameeweza kuzungumzi uchawi katika muziki na kukiri kuwa wapo wasanii wanaoamini nguvu za kishirikina kwa lengo la kufanikiwa.

Wakizizingumza na Dizzim Online Makomando wameweka wazi kuwa walishawahi kushauriwa kuingia katika imani za kishirikina awali katika safari yao ya muziki wakati wakitafuta njia za kufanya vizuri.

Check mahojiano yatu na Makomando.

Comments

comments

You may also like ...