Header

Robert Lewandowski arejea dimbani kuwakabili Madrid

Baada ya kukosekana kwenye mchezo wa round ya kwanza wa Klabu Bingwa Baran Ulaya mshambulia hatari wa  Bayern Munich Robert Lewandowski yuko tayari kuwavaa Real Madrid hapo kesho.

Lewandowski aliumia kwenye mchezo wa Ligi dhidi ya Dortmund ambao mchezo huo uliisha kwa Munich kuibuka na ushindi wa goli 4 bila na kuzidi kujiweka kileleni.

Bayern wanaenda Santiago Bernabeu huku wakiwa mchezo wa kwanza  walishafungwa  goli 2-1 kwenye dimba lao la nyumbani Allianz Arena.

Comments

comments

You may also like ...