Header

Selena Gomez na The Weeknd wajiachia waziwazi kwenye tamasha la Coachella

The Weeknd na Selena Gomez hawajifichi tena. Kuonesha kuwa mapenzi yao yamepamba moto, Gomez amepost picha kwenye akaunti yake ya Instagram yenye followers milioni 117 akiwa na mpenzi wake huyo kwenye tamasha la Coachella 2017.

Kwenye picha hiyo ambayo hajaweka caption, The Weeknd amemkumbatia kwa nyuma mpenzi wake huyo anayetabasamu kwa huba. Picha zao zaidi zimesambaa mtandaoni wakionekana kushikana, kukumbatiana na kubusiana kwa raha zao.

Comments

comments

You may also like ...