Header

Barcelona wapiga mazoezi ya mwisho ya kuwaangamiza Juventus

Wakati dunia nzima ikisubiria Barcelona kupindua matokeo ya kipigo cha goli 3-0 dhidi ya Juventus leo usiku kwenye mchezo wa Marudiano wa Klabu bingwa barani ulaya,Barcelona imefanya mazoezi yake kwa mara ya mwisho kunako uwanja wa Ciutat Esportiva Joan Gamper na hizi ni baadhi ya picha za wakali hao wakipiga mazoezi.

Comments

comments

You may also like ...